Managing Director
1 year agoRealBiz kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenye kipato cha chini kuweza kumiliki kiwanja. Malipo yake yanafanyika kidogo kidogo,mteja unaweza kulipia mpaka kwa miaka miwili. Miliki ardhi yako ni maendeleo yako ya kesho. Ardhi ni aseti isiyokufa wala kuharibika,itakusaidia katika Nyanja tofauti za maendeleo.